GET /api/v0.1/hansard/entries/998597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 998597,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998597/?format=api",
    "text_counter": 1547,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mwatate, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Kila wakati hata hapa Bungeni huwa tunalia tunasema kwamba wazee wa vijiji wana kazi kubwa. Sasa hivi nimeona Wizara ya Ndani angalau kidogo wameshiba. Basi tunaomba pia wao washibishe wale wazee wa vijiji. Ugavi wa mkate ndio huleta vita, malumbano, makasirikiano na chuki zote kubwa humu duniani. Kwa kweli ukiangalia hii Bajeti na nikiangazia Eneo Bunge langu la Mwatate, tumekuwa na kilio kikubwa cha maji. Kuanzia mwaka wa 2014 Serikali imekuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}