GET /api/v0.1/hansard/entries/998598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 998598,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998598/?format=api",
"text_counter": 1548,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "ikisema kwamba itaweka maji ya Mzima Springs kule kwetu Kaunti ya Taita Taveta na maji mengine yaende Kaunti za Mombasa, Kilifi na Kwale lakini nashangaa mpaka leo hii bado katika hii Bajeti hawajaiwekea mgao wa hela. Mimi hulia sana na ndovu na simba. Hata hivi juzi tumekuwa na fisi mla watu, haswa wazee. Hata mimi nina wasiwasi na hii Bajeti ya mwaka wa 2020/2021 maana nimelia sana kuhusu ndovu. Nikiangalia Wizara ya Mazingira na Maliasili, kwa kweli bajeti yao imepunguzwa na sasa hivi najua hawa wanyama watatusumbua sana. Zile hela walizopata ni za marupurupu yao tu lakini kufanya zile kazi zinatakikani itakuwa vigumu kwao."
}