GET /api/v0.1/hansard/entries/998599/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 998599,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998599/?format=api",
"text_counter": 1549,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Nitaongea kuhusu Tume ya Kuajiri Walimu. Kwa kweli naipongeza kamati kwa kuipatia pesa za kutosha ingawaje hela ambazo wametenga za matumizi katika afisi ile wameweka juu sana. Mimi nikiwa mwalimu, kwa kweli ile hela ya Kshs7 bilioni iko juu. Namuunga mkono mwenzangu Mhe. Sossion vile alikuwa amesema. Angalau wapunguze hizo hela na wawe na afisi ambayo inaweza kutoa huduma sawasawa kila mahali. Naona muda wangu umekwisha na nilikuwa na mengi ya kuongea. Asante, Mhe. Spika."
}