GET /api/v0.1/hansard/entries/998739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 998739,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998739/?format=api",
    "text_counter": 88,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Magonjwa kama vile Tuberculosis (TB) na Ukimwi yalikuwa na shida kama hizo. Sijui kwa nini hatujafahamu kuwa kila tukiwatenga wagonjwa kama hao tunaendeleza unyanyapaa? Vile vile wanashindwa kuendelea na maisha yao ya kawaida."
}