GET /api/v0.1/hansard/entries/998740/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 998740,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998740/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tarehe moja mwezi huu, nilizuru kituo cha matibabu pale the Technical University of Mombasa (TUM). Jambo la kusikitisha ni kuwa wagongwa wa COVID-19 walilalamika kwamba walikuwa wamefungiwa na hawakuwa na nafasi ya kutoka nje na kuzungumza. Endapo watarudi nyumbani, itakuwa shida kwa jamii kuwakubali kwa sababu tayari jamii imewatenga kwamba hawafai kujumuika na wengine."
}