GET /api/v0.1/hansard/entries/998742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 998742,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998742/?format=api",
"text_counter": 91,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, ijapokuwa sipongezi mfumo wa Rais Magufuli wa Tanzania, maisha yao yanakwenda vizuri. Watu wanakutana na kuswali misikitini au kusali makanisani. Juzi tarehe 31 Mei walikuwa na maombi. Sasa nchi yao haina visa vya COVID-19."
}