GET /api/v0.1/hansard/entries/998743/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 998743,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/998743/?format=api",
"text_counter": 92,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Lazima tuwe na ujasiri wa kutowatenga watu hawa. Maelezo kutoka kwa World Health Organisation (WHO) yanasema kuwa baada ya muda wa siku saba au nane, mtu hawezi kuambukiza mwingine virusi vya korona. Haifai wawe wanatusomea statement kila siku saa tisa kutuelezea idadi ya walioambukiza na waliopona, wakati wale wanaoachiliwa kwenda nyumbani hawajui kama jamii itawakubali au la."
}