GET /api/v0.1/hansard/entries/999396/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 999396,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/999396/?format=api",
"text_counter": 44,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Naibu Spika, nina Hoja ya nidhamu. Mheshimiwa amesema kuwa suala hili limejadiliwa hapa lakini Kamati imetaja tu Tana River na Garissa. Nimeisoma Ripoti yao na Lamu haikutajwa popote. Sijui Lamu mwataka twende Somalia; kwani Lamu si Kenya? Katika Ripoti yenu mumeweka only Garissa na Tana River, na Lamu kuna mafuriko kila pahali. Hii ni shida kubwa munatuletea. Hamuhesabu Lamu, sijui munatupeleka wapi."
}