Abu Chiaba

Full name

Abu Mohamed Chiaba

Born

1947

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

lamueast@parliament.go.ke

Telephone

0722-410177

Abu Chiaba

Abu Mohamed Chiaba was elected MP for the Lamu East constituency in 1992

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 81.

  • 5 Apr 2017 in Senate: Mr. “Acting” Speaker, Sir, it is not ready. We will inform the House tomorrow. view
  • 5 Apr 2017 in Senate: I said, Mr. “Acting” Speaker, Sir. view
  • 5 Apr 2017 in Senate: Yes, that is what I am saying. view
  • 5 Apr 2017 in Senate: Thank you. I said that we will bring a comprehensive Statement tomorrow. view
  • 14 Feb 2017 in Senate: Bw. Naibu Spika, asante kunipa fursa hii kuungana na wenzangu hapa kutoa rambirambi zetu za dhati kuhusu kifo ambacho kimetunyang’anya ndugu yetu tuliyemtegemea kwa mambo mengi sana. Nilibahatika kuwa naye katika Bunge la Taifa kwa miaka 10 na nilimtambua sana kama kiongozi wa kitaifa. Vile vile, nilifurahi mimi na yeye tulipokuja hapa katika Bunge la Seneti. Nakumbuka tumesafiri naye mara nyingi sana. La muhimu ni kwamba tulisafiri pamoja kwenda katika miji mitakatifu ya Mecca na Medina. Yeye alikuwa mtu aliyekuwa na imani kubwa kuweza kutekeleza wajibu wake kama Muislamu. Nilipata fursa ya kumtembelea marehemu siku ya Ijumaa iliyopita katika hospitali ... view
  • 5 May 2016 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I seek your indulgence and we need two weeks to respond to the question. view
  • 17 Mar 2016 in Senate: Asante sana Bw. Spika wa Muda kunipa fursa hii kuunga mkono Hoja iliyoko mbele yetu. Kwanza kabisa, natoa shukrani za dhati kwa Kiongozi wa Wengi katika Seneti na vile vile Kiongozi wa Wachache katika Seneti kushirikiana pamoja kuunda hii Kamati ambayo ni umuhimu sana. Viongozi wengine kama magavana wamepewa madaraka makubwa. Wametoka katika mipaka ya kuangalia haki na usawa katika kaunti zote za Kenya. Nasema hivyo kwa sababu nikiziangitia Kaunti ya Lamu, shida nyingi zilizoko kwa sasa zinasababishwa na Gavana wetu kwa sababu zamani, ardhi ya Kaunti yetu ilikuwa ya Serikali. Miradi mikubwa mikubwa iliyofanywa na serikali zilizopita ilikuwa halali. ... view
  • 17 Mar 2016 in Senate: Asante sana Seneta. Ninakushukuru na kukuheshimu vile vile. Mimi najua yale yanayofanyika Lamu kushinda wewe. Hiyo ni thibitisho kamili. Kisha tena--- view
  • 17 Mar 2016 in Senate: Namshukuru tena. Nataka kumjulisha kwamba kuna mahali panaitwa Manda Settlement Scheme iliyoundwa na serikali zilizopita; kuanzia serikali za marais wastaafu Daniel Arap Moi na Mwai Kibaki. Walipeana hekari kumi kumi na ishirini ishirini kwa watu wengine. Hivi sasa, Gavana wetu amekuwa akibadilisha hiyo na kuanza kuwapa watu robo hekari. Hiyo itachochea watu kupigana. Vile vile, jambo jingine linalofanyika ni kuwa kuna settlement--- view
  • 17 Mar 2016 in Senate: Bw. Spika wa Muda, thibitisho ni yale ambayo ninasema kwa sababu mimi ni Seneta wa Lamu. Ninajua zaidi yale yanayofanyika Lamu kushinda Sen. Hassan wa Mombasa. Sitaki niingile mambo mengi sana lakini nakuhakikishia kuwa imeshawahi kufanyika mara moja. Mabilioni ya pesa imelipwa na Serikali asubuhi na kupotea jioni. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus