Joseph Matano Khamisi

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

31st December 1944

Post

P.O box 670 mtwapa, kilifi

Email

joehasim@wananchi.com

Link

Facebook

Telephone

0722701419

All parliamentary appearances

Entries 211 to 221 of 221.

  • 4 Apr 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, the Assistant Minister has not adequately addressed part "b" of my Question. Her answer talks about the shortage caused by natural attrition, but I am more concerned about the shortages that have arisen as a result of the increase in enrolment of pupils in primary schools. Could she tell us what she intends to do to improve the teacher to pupil ratio in primary schools in this country? view
  • 4 Apr 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, the Assistant Minister has said that more teachers will be recruited by August. Could she tell the House specifically how many teachers will be recruited and how many of them will be posted to Bahari Constituency? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, naomba kumuuliza Waziri wa Ardhi Swali Maalum lifuatalo. (a) Je, Waziri anafahamu kwamba zaidi ya maskwota 300 wamepewa notisi ya siku 14 kuanzia Machi 20 kuhama kutoka ploti moja mjini Kilifi kupisha ujenzi wa kituo cha polisi? (b) Ikiwa hivyo ni kweli, ana mpango gani wa kuwapa makao maskwota hao ambao wameishi katika ploti hiyo kwa miaka mingi? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, sitaki kumshtaki Waziri Msaidizi kwa kulihadaa Bunge hili. Lakini ningependa kusema kwamba hasemi ukweli. Ukweli wa mambo ni kwamba watu hawa wamekaa katika ploti hio kwa zaidi ya miaka 50. Kama kweli walipewa ploti mwaka wa 2002 na wakarejea katika ploti ya polisi, kwa nini polisi hawakujenga kituo chao wakati ardhi yao ilipokuwa wazi? Kwa nini walingojea mpaka maskwota wakarudi kwenye ardhi yao? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, sisi tuko tayari kuhama kutoka ploti hiyo ikiwa tutapewa makao mahali pengine. Waziri Msaidizi amesema kwamba iko ploti katika sehemu ya Kisumu Ndogo. Je, anaweza kutuhakikishia kwamba ni kweli ploti hiyo iko, na kama wananchi walioathiriwa wanaweza kuihamia kabla ya wakati wao wa kuondolewa kufika? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir! view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, those people have been given notice to vacate by next Sunday. This is a very serious issue. I want an assurance from the Assistant Minister, that those people will not be evicted from the plot, unless a proper place for settlement is provided to them. They are supposed to vacate by next Sunday! view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, although I have not received the written answer, I beg to ask the Minister of State, Office of the President, the following Question by Private Notice. (a) Could the Minister table the report of the recent food assessment survey in Kilifi District? (b) Could he explain why an international Non-Governmental Organization (NGO), World Vision, has been given the responsibility of distributing relief food in the district instead of the Ministry? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: I really would not object to that request, except that I am wondering whether this Ministry does not have an Assistant Minister? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, ahsante sana kwa kunipa nafasi hii. Waswahili walisema: "Mvumilivu hula mbivu!" Nimevumilia tangu jana na sasa, nashukuru kupata nafasi hii. Bw. Naibu Spika wa Muda, wakati Rais alitoa Hotuba yake, alizungumzia kuhusu Katiba. Alisema kwamba ameteua kamati itakayoshughulikia maswala ya Katiba. Nafikiri kwamba Rais hakupewa ushauri bora katika jambo hilo. Wakati tulipiga kura ya maoni na sisi upande wa chungwa tukashinda, ilitumainiwa kwamba tutarejelea kielelezo cha Bomas kilochotokana na maoni ya wananchi, taarifa na ripoti mbali mbali. Ingekuwa kazi rahisi kwa Bunge hili kushikilia usukani wa kusukuma jitihada hizo. Lakini kwa kutoa kazi hii kwa ... view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: na Anglo Leasing - na ambazo zimetajwa hapa mara nyingi, ningependa kurudia na kusema kwamba kuna umuhimu kwa Serikali kutekeleza Ripoti ya Akiwumi. Bw. Naibu Spika wa Muda, ni zaidi ya miaka mitano sasa tangu michafuko ya kule Likoni ilipotokoea. Na tangu wakati huo, hali ya maisha katika sehemu ile haijarejea jinsi ilivyokuwa kabla ya mashambulizi hayo. Tunajua wazi kwamba ripoti ilitengenezwa na baadhi ya watu waliotajwa wako katika Serikali hii kama Mawaziri. Sielewi kwa nini Rais anaweza kuteua watu wanaojulikana wazi na ambao wametajwa katika ripoti za Serikali, kuwa ni watu ambao wanachochea hali ya kutokuweko na amani. Bw. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus