Sara Paulata Korere

Parties & Coalitions

Telephone

0727027937

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 351.

  • 16 Aug 2023 in National Assembly: Shukran Mhe. Spika. Ningependa kumpongeza Rais wa Nchi tukufu ya Kenya pamoja na Kinara wa Azimio, Mhe Raila Odinga. Kitabu cha Mtakatifu Mathayo Sura ya Tano, Ukurasa wa Tisa inasema kuwa “Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.” Tungekuwa shuleni na uambiwe ukanushe sentesi niliyoisema, itasema kuwa wamelaaniwa waleta vurugu maana wataitwa wana wa shetani. Mazungumzo yanayoendelea kwa sasa ama yanayoenda kuanza ni jambo nzuri sana katika nchi ya Kenya. Ni aibu kuwa tunafanya haya baada ya kuzua vurugu, kupoteza maisha ya watoto wa Kenya, na kuharibu mali ya Wakenya. Sote tulienda katika uchaguzi, na kuna wale pia sisi tuliwashinda. ... view
  • 16 Aug 2023 in National Assembly: mshindi angalikuwa ni mmoja tu. Tusije pia tukafanya mazungumzo haya iwe ni njia ya kutumia mlango wa nyuma kujitafutia ukubwa na mambo mengine. Nikimalizia, nimetazama orodha ya wale ambao wanaenda kufanya mazungumzo hayo. Hapa Kenya kuna watu tofauti; wafugaji, wakulima, wavuvi na wakusanyaji. Nikiangalia orodha hiyo, hamna mfugaji, mkusanyaji ama mwindaji. Ninaona Mhe. Ichung’wah hajui wakusanyaji na wawindaji ni hunters and gatherers . Hawa ni Wandorobo ambao mimi ni mmoja wao. Kwa hivyo, ninaunga Hoja hii mkono, lakini niko na tashwishi… view
  • 27 Jul 2023 in National Assembly: Shukrani, Mhe. Spika wa Muda. Kama Mbunge wa Laikipia Kaskazini, ninapenda kumshukuru Mhe. Rozaah na pia kumpa pole zangu, pole za akina mama wote na wazazi ambao wamepoteza watoto. Ninapenda kuongea kama mama. Waswahili husema mkuki kwa nguruwe ni mtamu na ni mchungu kwa binadamu. Lengo la Mhe. Rozaah kuwasilisha Hoja hii ni ili tujadiliane na tupate njia kabambe ya kuweza kutatua shida iliyo mbele yetu. Tuseme ukweli. Unajua uhuni haukubaliki iwapo unatoka kwa polisi ama raia. Kila mara tunakashifu polisi na tunasahau kwamba hawajatolewa nje ya nchi hii. Ni sisi tuliwazaa. Kuna shida kubwa sana Kenya tunapozungumza sasa hivi. ... view
  • 27 Jul 2023 in National Assembly: Nimesema hivi kwa sababu mimi ni Mwanachama wa Chama cha Jubilee. Sitaki kujua ni nani atakasirika ama atafurahi nikiongea. Nilitazama matukio ya maandamano kwenye runinga na nikajiuliza swali. Mimi nimewahi panga maandamano katika Eneo Bunge la Laikipia Kaskazini nikilalamikia matatizo yaliyokuwa yanawakumba wakazi katika eneo Bunge langu. Kila wakati niliwacha shuhuli za Bunge na nikaongoza hayo maandamano. Siku The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 27 Jul 2023 in National Assembly: moja nilipewa kichapo cha mbwa na polisi. Kwa hivyo, inastahili sisi kama Wabunge na Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa tuchunguze ili tujue haswa polisi na waandamanaji walifanya makosa gani. Tusianze kuzungumza kufurahisha nafsi zetu na kusahau kwamba iwapo Kenya itachomeka hamna nchi ingine mtaita nchi. Kenya ikichomeka, Kenya kwanza na Azimio zitachomeka. Mhe. Spika wa Muda, ningetaka kuwarai ndugu zetu. Tuliweza kuweka mfano mzuri wa kuigwa katika kanda ya Afrika na dunia nzima wakati tulipopiga kura. Ijapokuwa kiongozi wa Azimio hakukubaliana na uamuzi wa majaji, aliyaheshimu. Unajua kuna kukubaliana na kuheshimu. Hakukubaliana na uamuzi huo lakini aliuheshimu. Tuliweka ... view
  • 27 Jun 2023 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I want to support the nomination of the candidate. I happen to sit in the Departmental Committee on Administration and Internal Affairs, and the appointment of this lady to the position of Principal Secretary is really a bottom-up approach because she started as a secondary school teacher and climbed all the way to where she is now. She has quite a wealth of knowledge, and she is hardworking. She merits the appointment. However, as a leader from a minority community, I am a bit sceptical. If the current trend in appointment of people to public office ... view
  • 27 Jun 2023 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I want to support the nomination of the candidate. I happen to sit in the Departmental Committee on Administration and Internal Affairs, and the appointment of this lady to the position of Principal Secretary is really a bottom-up approach because she started as a secondary school teacher and climbed all the way to where she is now. She has quite a wealth of knowledge, and she is hardworking. She merits the appointment. However, as a leader from a minority community, I am a bit sceptical. If the current trend in appointment of people to public office ... view
  • 6 Jun 2023 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I want to add my voice to the audited reports on NG-CDF. I take particular concern with how these reports are sometimes released to the public without this House having a look at them first. Sometimes, information is not verified, but you can see a big newspaper column saying that Members of The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Jun 2023 in National Assembly: Parliament steal from NG-CDF. I believe there is no sane Member of Parliament who can steal from NG-CDF. As Hon. Baya has mentioned, some constituencies that have been marginalised over the years have really benefited from NG-CDF. I hope very soon this House will revise the amount allocated to NG-CDF. The only development you can see in our constituencies is because of what NG-CDF does. The Fund is a classic example of what devolved funds can do. Even as we grapple with non-release of funds this year, we should add more money to the Fund. Marginalisation is real in this ... view
  • 22 Mar 2023 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Speaker. I also want to add my voice to this Adjournment Motion. I do not know whether there is security that matters to some regions and not to other regions. When people say Nairobi is under attack – yes – we want properties and the people of Nairobi to be safe. However, I was watching from the comfort of my sitting room the demonstrations. Picketing is provided for by the Constitution. If Kenyans want to express themselves peacefully, why not? The prowess at which the police attacked the demonstrators made me to sit down. I thought ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus