GET /api/v0.1/hansard/entries/1002278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1002278,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1002278/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, umetoa uamuzi ya kwamba Maseneta ambao wameketi viti ambayo hawaruhisiwe kuketi, waondoke. Mimi nahofia maisha yangu kwa sababu ya ugonjwa wa COVID-19. Uamuzi wako haukuzingatiwi na baadhi ya Maseneta. Umerudia mara kwa mara, lakini bado wanauchukulia uamuamzi wako kama mzaha."
}