GET /api/v0.1/hansard/entries/1011700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1011700,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011700/?format=api",
"text_counter": 317,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaura",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": " Asante sana kwa kuwa na ari na motisha ya kuwafanyia Wakenya kazi. Sasa hivi nampa nafasi Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Mazingira na Mali Asili. Sen. Mwangi, nakuomba uchukue kama dakika nne."
}