GET /api/v0.1/hansard/entries/1016431/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1016431,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016431/?format=api",
"text_counter": 35,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, ninaiomba Serikali kupunguza bei ya chakula katika mikahawa katika mbuga za kuhifadhi wanyama. Hii ni njia pekee ya kupunguza gharama na kuhakikisha watu wengi kabisa wanazuru sehemu hizo."
}