GET /api/v0.1/hansard/entries/1016720/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1016720,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016720/?format=api",
"text_counter": 324,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, umenipa dakika moja ambayo nitaitumia vizuri ili kuwasilisha ghadhabu ya watu wa Taita-Taveta kihusiana na Kamati inayuhisika na COVID-19 ilioundwa tarehe 31 Mwezi wa Machi mwaka huu. Niliwasilisha taarifa yangu kwa Kamati hiyo tarehe 23 Mwezi wa Juni, kuomba Kamati hiyo itupe maelezo kuhusu pesa zilizogawiwa Kaunti ya Taita-Taveta kwa ajili ya kupambana na janga la COVID-19. Taarifa hiyo niliyotoa haikuangaziwa na Kamati hiyo, hivyo niliomba Spika anipe mwelekeo kuhisiana---"
}