GET /api/v0.1/hansard/entries/1019046/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019046,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019046/?format=api",
    "text_counter": 116,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "na Kamati ya Justice, Legal Affairs and HumanRights kuhusu mambo ya mipaka kule Taita-Taveta. Mpaka sasa sijapata majibu. Taarifa hiyo ilikua inauliza kuhusu mpaka wa Taita-Taveta na Makueni kwa sababu ya ule mtafaruku ulioanza kati ya Serikali ya Kaunti ya Makueni na Taita-Taveta. Nilisema kuwa katika District and Boundaries Act ya 1992, wakati wa kuelezea mipaka ya Wilaya ya Makueni ilisema kwamba Mtito Andei iko Makueni na ikasema tena kuwa iko Taita-Taveta."
}