GET /api/v0.1/hansard/entries/1022079/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1022079,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022079/?format=api",
"text_counter": 352,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Wakati huu wa COVID-19, watu wana shida ya watu kupata chakula na kulipia kodi za nyumba. Watu wengi wamefukuzwa kutoka nyumba walizokuwa wakiishi. Hilo ni jambo la kusikitisha kwa Wakenya."
}