GET /api/v0.1/hansard/entries/1027463/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1027463,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1027463/?format=api",
"text_counter": 652,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ahsante sana, Bi Naibu Spika. Sisi ni watumishi wa kaunti zetu na tuko hapa kufanya kazi. Sisi ni essential workers . Hii ni hoja ya nidhamu. Kwa hivyo, ni vyema uongeze wakati ndiposa tuweze kujadili Hoja hii ambayo ni muhimu kwa maisha ya Wakenya."
}