GET /api/v0.1/hansard/entries/1033745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1033745,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033745/?format=api",
    "text_counter": 362,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kwamboka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 9246,
        "legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
        "slug": "beatrice-kwamboka-makori"
    },
    "content": "Serikali hii ni ya Jubilee. Ni wakati wa wale ambao wako katika Serikali kufanya kazi; waache kufanya siasa ya mwaka wa 2022. Watulie na wasaidiane ili waweze kuendeleza Kenya yetu mbele"
}