GET /api/v0.1/hansard/entries/1034435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1034435,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034435/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wajir CWR, PDR",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Fatuma Gedi",
"speaker": {
"id": 1139,
"legal_name": "Fatuma Gedi Ali",
"slug": "fatuma-gedi-ali"
},
"content": " Hoja ya nidhamu, Mhe. Naibu Spika Wa Muda. Ningependa kusema jambo kuhusu nidhamu katika Jumba hili. Wakati ulikuwa unazungumza, Mhe. Sankok alikuwa anachukua video . Ningetaka kujua kama hii iko katika Kanuni za Kudumu. Nimeona hili si jambo nzuri. Kwa hivyo ni vizuri aseme nia ya kuchukua hiyo"
}