GET /api/v0.1/hansard/entries/1037222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037222,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037222/?format=api",
"text_counter": 590,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "moja kwenda sehemu nyingine. Kwa hivyo ningependa kuwahimiza kuzingangatia kanuni zilizopo za kupambana na COVID-19 hivyo wanafaa kupunguza msongamano katika maeneo watakoenda kusherehekea. Nawahimiza Wakenya pia kuangalia kwamba kuna usalama wao binafsi na usalama wa wananchi wengine kokote watakapokuwa."
}