GET /api/v0.1/hansard/entries/1037224/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037224,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037224/?format=api",
"text_counter": 592,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa muda, nachukuwa fursa hii kuwatakia Maseneta wote sherehe murwa za Krismasi na Mwaka Mpya. Ningependa pia kukupongeza kwa kutilia mkazo matimizi ya lugha ya Kiswahili katika Bunge hili. Nilifurahi sana wiki iliyokwisha---"
}