GET /api/v0.1/hansard/entries/1037247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1037247,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037247/?format=api",
"text_counter": 615,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Waheshimiwa Maseneta, tunajua kwamba kutokana na janga kuu la COVID-19 katika Mwezi huo tu wa Machi, shughuli zetu zilikuwa haziwezi kuendeshwa vizuri kwa sababu mabunge yote ulimwenguni yalianza mikakati ya kuhakikisha kwamba yanachunga kuenezwa kwa ugonjwa wa COVID-19 kati ya Wabunge wenyewe na wafanyikazi wa Mabunge hayo."
}