GET /api/v0.1/hansard/entries/1037885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1037885,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037885/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisumu West, FORD-K",
    "speaker_title": "Hon. Olago Aluoch",
    "speaker": {
        "id": 5,
        "legal_name": "John Olago Aluoch",
        "slug": "john-aluoch"
    },
    "content": " Bw. Spika, Alhamisi wiki jana, niliamua kuonyesha uzoefu wangu wa lugha yetu ya taifa; Kiswahili. Lakini kuna Wabunge kama Mhe. Millie Odhiambo waliolalamika kuwa nilikuwa ninawatesa kwa kuongea kwa lugha ya Kiswahili. Kwa sababu hiyo, nimeamua kuwa leo nitaonyesha uzoefu wangu kwa lugha ya Kiingereza."
}