GET /api/v0.1/hansard/entries/1043198/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1043198,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043198/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, kwanza kabisa, sheria inapendekeza kujumuisha federation za nchi na vile vile za kimataifa katika utekelezaji wa masuala ya anti-doping. Pili, katika Kifungu cha tano, wanapendekeza kuleta elimu ya masuala ya madawa katika risala za kufundihsa wanamichezo ili wajue dawa fulani zikitumika mtu atakuwa amevunja sheria."
}