GET /api/v0.1/hansard/entries/105353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 105353,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/105353/?format=api",
    "text_counter": 238,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Raila",
    "speaker_title": "The Prime Minister",
    "speaker": {
        "id": 195,
        "legal_name": "Raila Amolo Odinga",
        "slug": "raila-odinga"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kumwambia mheshimiwa Mbunge kuwa sisi sote ni Wakenya, tufanye hii kampeni kama Wakenya. Ikiwa wale wanaopinga na kusema “la” ndio watashinda, sisi tutawaunga mkono. Tutashikana mikono na kusalimiana. Ikiwa watashindwa, kama vile mimi nina uhakika kuwa watashindwa, nao vile vile wasalimu amri. Asante, Bw. Naibu Spika."
}