GET /api/v0.1/hansard/entries/1053939/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1053939,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1053939/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Mwishowe nikimalizia, kuna huu mwenendo wa Katiba 2010 ambao Waziri anaandika ripoti, kisha anampelekea Mjumbe kuisoma. Nasikitika itabidi waregeshe tena suala hili ili wajue ukweli. Mwisho, wamesema post-mortem ilifanywa. Hakuna post-mortem yeyote ilifanywa kwa marehemu. Kwa hivyo, nasikitika kwa sababu itabidi dadangu ambaye yuko katika Kamati ambayo inahusika arejee tena kuambia Serikali kuwa kuna kiwango ambacho watu wanaweza kuhadaiwa."
}