GET /api/v0.1/hansard/entries/1057877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1057877,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1057877/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Nasimama kuambatana na Aya ya 48(1) ya Kanuni za Kudumu kuomba kauli kutoka kwa Kamati ya Barabara na Uchukuzi kuhusu uboreshaji wa barabara ya Mshomoroni-Mwakirunge kufikia hali ya barabara ya lami."
}