GET /api/v0.1/hansard/entries/1059628/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059628,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059628/?format=api",
"text_counter": 74,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tumeona ya kwamba tumepoteza madaktari wa ngazi za juu kwa ugonjwa huu wa COVID-19 ambao bado tunawahijati katika nchi hii. Ukiangalia idadi ya wale waliofariki katika ulimwengu ni madaktari, wauguzi, na wanafanya kazi hospitalini. Hao ndio walioathirika sana na ugonjwa wa COVID-19."
}