GET /api/v0.1/hansard/entries/1062077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1062077,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1062077/?format=api",
"text_counter": 589,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono huu mjadala wa kusitishwa kwa Bunge mpaka mwezi ujao. Kusema kweli, kuna janga kubwa la COVID-19 na ni wakati mwafaka kwa Bunge kuenda likizo kidogo. Wakati ambapo tutakuwa kwenye likizo ni wakati wa kamati, sana sana Kamati ya Afya ambayo mimi ninashiriki hapo, tuweze kuangalia hizi"
}