GET /api/v0.1/hansard/entries/1066966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066966/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Hivi ndivyo majirani na ndugu walioshibana wanavyoishi. Yeyote anayefikiria ama kudhamiria kuleta uhasama baina yetu, ujumbe kwao ni kuwa, Tanzania na Kenya tulikuwepo, tupo na tutaendelea kuwepo. Iwe kiangazi; iwe masika, Tanzania na Kenya tupo."
}