GET /api/v0.1/hansard/entries/1068904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068904,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068904/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa fursa hii ya kuchangia Mswada wa Marekebisho ya Katiba ulioletwa katika Seneti. Kwanza, ningependa kuwapongeza waasisi wa Mswada huu kwa kutupa fursa ya kurekebisha Katiba yetu wakati tuna amani na hakuna msukosuko wowote katika Jamhuri ya Kenya."
}