GET /api/v0.1/hansard/entries/1068941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068941,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068941/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Mwananchi wangu wa Taita-Taveta alitoa mawazo mengi sana kuchangia kwa Mswada huu lakini mengi hayajazingatiwa ama kuangaziwa. Jambo la kwanza ni kwamba asilimia 62 ya Gatuzi la Taita-Taveta iko chini ya mbuga za wanyama. Katika mapendekezo ya Mtaita na Mtaveta, tulisema kwamba ile mbuga ya wanyama iwe gamereserve badala ya kuwa national park ili mwananchi wa Taita-Taveta afaidike moja kwa"
}