GET /api/v0.1/hansard/entries/1068983/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068983,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068983/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Naamini kwamba iwapo pesa itaongezeka katika magatuzi, kuna maendeleo mengi ambayo yatapatikana ambayo hayakuwa yanapatikana kwa sababu ya uhaba wa pesa. Nakubaliana kwamba iwapo mjumbe wa Bunge la Kaunti atakuwa anapata zile"
}