GET /api/v0.1/hansard/entries/1069772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1069772,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069772/?format=api",
    "text_counter": 513,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Nataka nikome hapo na tumsifu sana Bi. Spika wa Muda kwa hii Hoja. Naunga mkono ama ku- second . Siwezi kujua kama ‘ second’ ni kuunga mkono ama ni kufanya nini. Pia mimi nimetumia jina la Kizungu. Asante Sana, Bi Spika wa Muda. Nina second."
}