GET /api/v0.1/hansard/entries/1071118/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1071118,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071118/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kipipiri, JP",
    "speaker_title": "Hon. Amos Kimunya",
    "speaker": {
        "id": 174,
        "legal_name": "Amos Muhinga Kimunya",
        "slug": "amos-kimunya"
    },
    "content": " Ningependelea sana na naomba Wajumbe tuweze kujionyesha. Hii ni kwa sababu ya changamoto tuliyonayo ndiyo Mhe. Rais pia aone Wakenya wamechangamka na wanaweza kujadili kwa Kiswahili kama alivyotuhutubia kwa Kiswahili."
}