GET /api/v0.1/hansard/entries/1071119/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1071119,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071119/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sababu ya kukupatia hiyo fursa kama Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi ni kwa sababu nimeona ukisoma hiyo taarifa. Kwa hivyo, nilikuwa nataka kuona kama unaweza kuendelea bila kusoma na nimeona umefaulu."
}