GET /api/v0.1/hansard/entries/1072186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072186,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072186/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Mhe. (Dkt) Naomi Shaban",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi hapa Bungeni. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ni heshima kubwa sana kuwa Bunge hili liliweza kumpokea mgeni ambaye alitoka nchi jirani."
}