GET /api/v0.1/hansard/entries/107250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 107250,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107250/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Order! Bw. Ojode, kuambatana na taharuki iliyoko; na taharuki maanake ni kuna hali ya wasiwasi. Kwa vile, usalama na mambo mengine yanaweza kuzoroteka. Bw. Mung’aro anaona ni afadhali uilete hiyo taarifa yako mwisho wa wiki hii. Unaweza kuileta Alhamisi ya wiki hii?"
}