GET /api/v0.1/hansard/entries/107253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 107253,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107253/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Sioni kuwa Waziri Msaidizi anachukulia hili jambo vile linavyohitajika kuchukuliwa. Kama alienda Malindi na akaona ile hali ya taharuki iliyokuweko; watu wanataka kuuana, na huku anasema hamna lolote la taharuki. Waziri Msaidizi anafanya fedheha kwa watu wa Mkoa wa Pwani na naomba ikome!"
}