GET /api/v0.1/hansard/entries/107565/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 107565,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107565/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika. Hata mini ninaunga mkono hilo pendekezo. Msichana akiolewa akiwa na miaka 11 au 12, au mvulana pia akioa mama mzee--- Ingekuwa muhimu kuwa na sheria ili tusaidie jamii zingine kama jamii ya wafugaji, ambao hawana hii habari. Kwa hivyo, kunatakikana kuwe na sheria ya kukataza jambo hili."
}