GET /api/v0.1/hansard/entries/1083999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083999,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083999/?format=api",
    "text_counter": 156,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Ingekua vyema kama Serikali ingetenga pesa za kutosha ili wananchi wetu wapate chanjo. Hii ni kwa sababu kama wananchi hawatapata chanjo na hakuna tiba ya COVID-19, basi hofu tuliyonayo wakati huu itaendelea kutandaa na itafanya uchaguzi usiwe wa maana kwetu."
}