GET /api/v0.1/hansard/entries/108862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 108862,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/108862/?format=api",
"text_counter": 960,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Bw. Spika, sarakasi ni kuwa, kila saa na wakati, watu ni kutoka; watu hawataki kufanya shughuli yoyote ya Bunge hili. Tumetupilia mbali shughuli iliyotuleta Bungeni kusaidia Wakenya kuwa na maisha bora kuliko wakati ule tukija hapa."
}