GET /api/v0.1/hansard/entries/1089855/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1089855,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1089855/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, sikutaka kuongea kuhusu hili jambo. Lakini, ninajua kwa nini amekosea. Nimekuwa nikimfuatilia kwa mambo ya mgongo wa chupa. Amefanya makosa kwa sababu, wakati sisi tunasema mambo kwa kingereza ‘ bottom up’, nimekuwa nikimskia akisema. Ndio maana amefanya makosa hayo na ninamuelewa."
}