GET /api/v0.1/hansard/entries/1100314/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1100314,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1100314/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante Bi. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Kwa kweli, Taarifa hii imetoka wakati mwafaka kabisa. Wakati huu ni wakati wa kiangazi kikuu ambapo wafugaji wanapata shida na mifugo yao."
}