GET /api/v0.1/hansard/entries/1112648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1112648,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1112648/?format=api",
    "text_counter": 134,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Sisi tunatoa wito na kuisihi Kamati itakayoshughulikia suala hili, ichunguze kwa makini na waweze kuja na suluhisho ya kudumu. Tuko katika msimu wa pili wa ugatuzi ambao unakaribia mwisho wake. Kama watu hawajalipwa na Serikali iliyopita na bado"
}