GET /api/v0.1/hansard/entries/1120581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120581,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120581/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Ninaunga mkono lugha hiyo wakati wanapoisherehekea kwa sababu tunaishi na watu hao; ni ndugu zetu na watu ambao lugha hii yao inafaa ipewe kipaumbele katika shule na vyuo vikuu ili ikuzwe."
}