GET /api/v0.1/hansard/entries/1120837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120837,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120837/?format=api",
"text_counter": 286,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Gona",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Pia nimesimama kuunga mkono Hoja hii ya kuwashtumu Mawaziri wawili ambao ni Waziri wa Kawi na mwezake Waziri wa Madini na Mafuta."
}