GET /api/v0.1/hansard/entries/1121236/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1121236,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121236/?format=api",
"text_counter": 372,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "vinafanywa na polisi. Ningependelea kusema ya kwamba, ni vyema ikiwa polisi wataambiwa kwamba mambo ya kupiga watu risasi, kuua watu au kuangamiza wananchi yakome. Yasiweze kutokea tena katika maeneo yetu ya Pwani."
}