GET /api/v0.1/hansard/entries/1121833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1121833,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121833/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Kwa hakika, kama Wakenya, tunajua kuwa unapofika miaka 60, unastaafu. Kuna wale ambao hustaafu kabla ya miaka 60 ndiposa kukawa na mikakati ya s cheme ya pensheni . Lakini, kumekuwa na changamoto nyingi sana. Wakenya wengi wamepata shida sana mikononi mwa maofisa tofauti tofauti katika mradi huu wa pensheni . Kuna ile tunayoita kwa Kiingereza"
}